Recent content by big man 26

  1. big man 26

    Hi-fi kwenye sea piano 8800

    Jamani wana jf kwanza habarini. Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu au ufahamu wa hii kitu. Mimi nimenunua subwoofer aina sea piano 8800 lakini kila nikajaiwasha ili nisikilize mziki either kwa aux. Fm hata bluetooth huwa inapiga kidogo nakukata mziki ikiwa bado imewaka ina display neno...
  2. big man 26

    Jinsi ya kupata fully funded Scholarship ya kusoma ndani na nje ya Tanzania

    Mkuu ni vizur usome vizur thread kabda hujakulupuka kujib maan main title imejieleza kabisa
  3. big man 26

    Jinsi ya kupata fully funded Scholarship ya kusoma ndani na nje ya Tanzania

    Wakubwa naomba kuwasilisha hii inisaidie mimi na wadau wengine wanaopenda kujua juu ya habari ya Scholarship haswa zinazotolewa nje ya nchi yetu. 1. Vigezo vyake vimekaaje? 2. Jinsi ya kuapply
  4. big man 26

    Nmechaguliwa UDOM educaton lakin siipend

    nlifanya ivo nlipokosa nkaona nijaze ivo tuu
Back
Top Bottom