Nakumbuka nilikua kidato cha kwanza nikamzimia montress, Mwanaume sijawai kutongoza nikaona njia sahihi niandike barua.Nikajipinda nikaandika barua nikapangilia mistari nikachora na maua ya kutosha.
Nikafunga barua yangu mwanaume nikatia na jero (500) kwenye bahasha ambayo ilikua ni nauli...
Habari,
Je mke anapokukatalia tendo la ndoa wakati haumwi wala hana tatizo lolote anamaanisha nini?
A. Hana hisia na wewe.
B.Humridhishi.
C.Amekuruhusu ukachepuke.
D.Anachepuka.
E.None of the above.
Habari wana MMU. Inasemekena kuwa kuangalia sana video za ngono na picha za uchi zinapunguza nguvu za kiume. Swali langu na jiuliza kuna mahisiano gani kali ya hiyo video na nguvu za kiume hadi zinapungua?
Ufafanuzi wenu tafadhali.
Habari wana MMU.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwani najua huku wapo wakongwe wa mahusiano na mambo ya familia.
Mchumba wangu ana tabia moja ya ubishi.
Unaweza muomba game akakujibu mimi sipendi huo mchezo au nikitumia mbinu ya kumshawishi kwa matendo utaona yeye anarespondi negative...
Jamaa ana nyumba ndogo mchepuko na anajitahidi kupita kila siku anapotoka kazini ili kuacha matumizi na kugawa dozi. Kumbe jamaa akiondoka mchepuko unaleta nao mchepuko wake ndani anakula mzigo hadi asubuhi. Kazi ipo jamaa mchepuko unachepuka,msichana kachukua vitu vyote gheto kaondoka...
Jana jioni nimepigiwa simu na jamaa mmoja inaonekana ni mtu mzima hivi kutokana na sauti. Tukasalimiana kistaarabu tu akaniambia wewe si Bakari nimjibu sio utakua umekosea namba,but kang'ang'ania mim ni Bakari.
Akaniambia nimekupigia simu naomba uachane na mke wangu. "Nikastuka mke wako"...
Ni ndugu yake na pia ni dada yake mkubwa. Baba yao alimuoa mama yao akiwa na tayari na mtoto wa kike ila alikua mdogo sana hivo baba alikubali kumlea mtoto hivo mtoto katika kukua kwake alijua yule ndo baba mzazi wake. Amemsomesha hadi kamaliza form six.
Kaka mdogo wa huyu dada ambaye...
Leo tulikua tunataniana na rafiki yangu baada ya kunipa taarifa kuwa anataka kuoa ila mpenzi wake kamwambia wakapime HIV kabla ya kuanza maandalizi ya ndoa.
Jamaa anaogopa maana anasema tangia aanze mahusiano secondary hadi leo alishatembea na wanawake zaidi ya 30 na hajawai kupima. Hiyo idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.