Recent content by big bro

  1. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mikutano ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Magufuli mkoa wa Kigoma

    njaa ni hatariiiiiiiii
  2. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    pumzika kwa amani kamanda na sisi tulio baki nijukumu letu kuendeleza mapambano hadi mwisho Ushindi ni lazima tena Asubuh tyuuuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Tunampa nchi ivo ivo alivo maana mda wa mabadiliko umefika
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maswali matano (5) ya msingi uvamizi wa Ndg. Humphrey Polepole

    Nahic pole pole ni mzeee maana hiyo sura sio ya kijana na hapo anapata vicenti vya Ccm angekuwa mkulima je?
  5. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    fisi yuko kwenye lori uyo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    kwanza DIAMOND asituumize kichwa kwanza siku ya Uchaguzi tarehe 25 yeye atakuwa Uganda kugombania mtoto
  7. B

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    kahaba wa kiume huyo hana lolote zaidi ya kuwaza atoke na skendo gani
  8. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    :lock1: unalo mwaka huu utajuta why ulichukua form
  9. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    UKAWA ndo habar ya mjini
  10. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    tusikilize kauli mbiu yao cz wameshatufanya ma mbulula mala utasikia kasi mpya na nguvu mpya kumbe ya wizi hawana lolot hawa
  11. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    wali harage huo wenye mjaa zao sasa sogeeni:dance:
  12. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    wanajaza watu kumbe wa kusomba toka nje ya jiji wakati UKAWA wanauwezo wa kuujaza uwanja wajangwani bila mtu kupewa nauli wala usafili.CCM kama mnataka kupima kibali mlicho nacho kwa wananchi acheni waje wenyewe kwa usafili wao na hakuna haja ya kuwapa posho kwan kama wanakipenda chama watakuja...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ningeshtuka kama nyomi la Lowassa lingekuwa la Mbowe

    nyomi ilikuwepo toka mwanzo sema sahiv ni mafuriko na bado mtaisoma namba
  14. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA/ CHADEMA wamepanick

    Unamimba ya UKAWA wewe cz sijaona la maana apo bt we ndo umepanic or walio kutuma ndo wamepaiki sio kosa lako
  15. B

    JamiiForums Tanzania Idadi halisi ya wanachama wa CCM Tanzania bara na visiwani mpaka mwaka 2015

    me nnakadi 28 za CCM ambazo nimezipata ktk mchakato wa kura za maoni na si mfuasi wa CCM cz nilipewa na Kada wao na zimempitisha hapa jimboni kwetu lakini UKAWA watachukua jimbo cz jamaa ni dhaifu sana bt aligawa kadi za CCM lundo kwa vijana hapa mtaani
Back
Top Bottom