Recent content by Biccolimana

  1. B

    JamiiForums Tanzania VITA KALI: MUNGU anataka kutupa Rais, Shetani naye anapigana aweke Rais wake hapa Tanzania

    achana naye shabiki huyo!Kama ccm ndo wacha Mungu,basi shetani ni neno la kufikirika tu!mimi naamini kuwa hata masons hawana roho katili km ccm,tena kwa raia wao.
  2. B

    JamiiForums Tanzania VITA KALI: MUNGU anataka kutupa Rais, Shetani naye anapigana aweke Rais wake hapa Tanzania

    Mbona shetani tumekuwa naye kwa miaka 54 haukuomba?kwani kuna mwingine mbaya zaidi ya huyu tuliyemzoea?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nipo mufindi Iringa,channels kadhaa zikiwemo ITV,TBC1,IROKO,CHANNEL10,etc zimepotea,hata kwenye channel list hazionekani.Wahudumu wenu wananipa majibu ambayo hata hayanisaidii.02139222989.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    bora masonry kuliko ccm!masonry ni brotherhood,but ccm ni ibilisi!so wataka tupende kipi?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli kesho kuwasili Bariadi mkoani Simiyu

    Waambieni ccm huko jamani,tupo kama 30 hapa Mafinga,watume helicopter ili tuiwahi hiyo show.
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

    Mwenyezi na aamue kwa haki.Kwa wanachofanya ccm,nawafananisha na utawala wa Sauli.Ee Mwenyezi,mapenzi yako yafanyike!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hapa Lowassa ataweza kweli!

    watanzania wamevumilia kwa miaka 50,hiyo 15 itawashinda?watu wamejimilkisha nchi kama yao,wengine tumekuwa kama wapangaji muda wote,then watwambia tuwe na imani na ccm?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hapa Lowassa ataweza kweli!

    sasa punguani nani hapa?anayetukana au mtukanaji?functions of the government are well known and one of them is to promote welbeing of its people!sasa msomi kama wewe unaposema si ukawa wala cdm itakayokuletea maendeleo tukueleweje?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hapa Lowassa ataweza kweli!

    kwa ccm,ni afadhali kuibomoa nyumba na kuanza kujenga nyingine kuliko kukarabati hili gofu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hapa Lowassa ataweza kweli!

    Tuahirishe uchaguzi ili tuendelee kuongozwa na nani?unafikiri wote twafurahia tunachofanyiwa na serikali hii?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    mwanao ana akili kukuzidi?
  12. B

    JamiiForums Tanzania SAY YES to LOWASSA,Wote wapenda mabadiliko tujoin hapa

    kwa nlivyowachoka hawa CCM,ningeweza kuwa tayari hata kumwomba shetani anisaidie kuwaondoa kama anaweza
  13. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    kwa nilivyowachoka hawa ccm,nipo tayari kumwomba hata Yuda Iskariote anisaidie.
Back
Top Bottom