Recent content by biashara huria

  1. biashara huria

    Wafungaji wa mfumo wa gas fuel kwenye magari ya diesel na petrol

    1. Gharama za kufunga mfumo wa gas kwa gari aina ya Toyota Harrier (model ya kati/chogo) shilingi ngapi? 2. Mfumo huo unafanyiwa service kila baada ya muda/kilomita ngapi?
  2. biashara huria

    Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

    "According to Psychologists, there are four types of Intelligence: 1) Intelligence Quotient (IQ) 2) Emotional Quotient (EQ) 3) Social Quotient (SQ) 4) Adversity Quotient (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ): this is the measure of your level of comprehension. You need IQ to solve maths...
  3. biashara huria

    Msaada wa kuagiza taa za nyuma za Toyota Harrier

    Mkuu hii sijaielewa vizuri. Naomba ufafanuzi
  4. biashara huria

    Msaada wa kuagiza taa za nyuma za Toyota Harrier

    Shukrani kwa mwongozo, ntafanyia kazi
  5. biashara huria

    Msaada wa kuagiza taa za nyuma za Toyota Harrier

    Mwalimu RCT Habari Mkuu. Msaada wa kuagiza taa nilizoweka picha hapo juu
  6. biashara huria

    Msaada wa kuagiza taa za nyuma za Toyota Harrier

    Ngoja nimcheki kuna mwenye namba zake za simu?
  7. biashara huria

    Msaada wa kuagiza taa za nyuma za Toyota Harrier

    Habari zenu Kuna taa za nyuma za Toyota Harrier (chogo/tako la nyani) nimezipenda sana. Kwa Tz hapa naona bei juu sana kuna sehemu mil 1.2 kwingine hadi 1.6mil Mwenye uzoefu wa kuagiza naomba aje pm tuyajenge
Back
Top Bottom