Recent content by bianca2023

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YOU ARE MAN, NOT A SHOULDER TO CRY ON

    [emoji2][emoji2]tena kwa kizungu[emoji2][emoji2]ngoja tuone mwisho wake
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Wewe ni mpuuzi tu huitaji staha yoyote Kumbe una njaa kiasi hicho Wenzako huwa wanasema wakikwama tunawarushia chochote kitu sio utapeli wa njoo pm Kwaio huko pm ndio hutokuwa busy? Kenge mmoja
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mpuuzi huyu watakao mfata pm ni wajinga wenzie
  4. B

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Kuna documentary nilikuwa nasikiliza wanasema kuna aina tofauti za uchawi,hata wazungu wanao uchawi ila wengi hutumia for positive outcome,wanasema aina ya uchawi uliopo africa ni wa kuumizana hauna faida na ndio uchawi mbaya sana hata wao hawapendi matumizi ya uchawi huu So kwa huku africa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Somewhere hapahapa daslam[emoji3]
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    [emoji102][emoji102][emoji102]mwalim mshahara umetoka leo upo viti virefu nini?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Haya mambo yapo kama mtu haamini haizuii mambo kufanyika Mlokole mwenyewe alienda kutenda dhambi inamaana maombi yalikwama
  8. B

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Nilikuwa siamini ila nimekubali[emoji1487]
  9. B

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Hahah wapo wengi sana Mimi nilikutana na halima mdee kipindi cha seke seke lake la covid19 si umeona jambo lake limetulia mjini hapa watu wapo busy kwa sangoma[emoji28][emoji28][emoji28]
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Dah wewe una experience unajua kunuia[emoji28][emoji28][emoji28]
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanini unataka uwaloge?unaanzisha vita utaiweza kweli?
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    [emoji28][emoji28][emoji28]yule tuliishia alipata kazi ya tajiri kkoo sasa sijui ndio alienda mazima hajawahi kurudi tena
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Ndio maana tulikwambia usisome critics hakuna alieleta story yake jf akasifiwa na wote Ukileta kitu we tiririka tu usisome maoni ya watu hadi umalize
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    cariha njoo huku hii isikupite [emoji28][emoji28]
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    cariha
Back
Top Bottom