Ezekiel Kitiku ana interview yake hapa
https://youtu.be/201-AkxoMbk?si=7pdHv0heHzkU1Mtq
Alizungumza kuhusu mazingira aliyokuwa nayo alipojikuta kwenye shelter za kujikinga na mabomu. Alikuwa anaishi wneo moja na Clemence ila yeye kwa bahati mbaya au nzuri ilikuwa zamu yake kuingia shambani...
Ntakuajiri uwe editor mkuu wa makala maana naona umebobea kwenye uandishi. Humu JF si kila mtu atakuwa mwandishi, labda nimekuzidi kwenye mengi zaidi. Nilishamwambia jamaa mwingine kuwa nilitaka kuongelea mengi na sikutaka kuanzisha uzi mpya kwa kila point nikaamua kuunganisha kila kitu...
Nimeshamjibu mwenzio. Stop projecting bro. Pombe mnazozipenda nyinyi mnadhani kila mtu anapenda pia?
"Usipopaelewa ni wapi. Siwezi kuanzisha thread tofauti ili kuwasilisha nibachokijua. Nimeanza kumpongeza Nanyaro kwa kuwa spokesperson mzuri wa familia, pili nikaomba watu tuwe na umoja katika...
Nimegundua watanzania wengi mna shida ya reading comprehension
Reading comprehension is the ability to process written text, understand its meaning, and to integrate with what the reader already knows. Reading comprehension relies on two abilities that are connected to each other: word reading...
Hebu nieleze mwandishi uliyebobea? Siweki link maana hamchelewi kusambaza hizi picha mitandaoni. Mimi nimeeleza nilichoona. I ain't showing anyone anything. Nimeattach picha mbili na Instagram yake juu. What else do you want bro
Mimi kilichoniuma ni mwili wake umeharibika sana kusema ukweli. Kwanini waupeleke mwili Gaza? Kwanini wamvue suruali yake na kuvunja miguu juu? Yaani I'm traumatized
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.