Recent content by Bi Shost

  1. B

    Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake

    Mkuu sio maandalizi ya uchaguzi. Ni shinikizo kutoka kwa nchi wahisani na donors. Wameelekeza kutotupa msaada kwenye budget yete ikiwa kodi ya wananchi wao ndio inasaidia budget yetu huku kuna wachache( mafisadi) wanaomisuse pesa za wananchi. Hivyo wameitaka serikali yetu kuhakikisha...
  2. B

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Naombeni mnikaribishe jamani, nimekuwa nikivutiwa sana na thread zenu napenda kuwa mwanachama tangu leo. Naahidi kuilinda na kuitete JF kwa moyo wangu wote. Naomba kuwakilisha.
Back
Top Bottom