Recent content by Bi mona

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natokwa sana jasho

    Umejaribu dry deodorant?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

    Mkuu hapo umenena vzuri.kutokujisafisha vizuri papuchi kunapelekea hiyo hali ambayo huwa ni fungus.usafi unahitajika yapasa kuingiza kidole kuutoa kila unapojisafisha.Zaidi eaende hospital ili aoate tiba ya fungus ya kunywa naile antifungul ya kuinsert kwa papuchi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Usafi ndio kila kitu.yatakiwa unaposafisha uke tumia maji safi ya vuguvugu na sabuni nahakikisha unaingiza kidole ili kutoa uchafu/uteute unaotoka huko ndani,baada ya hapo kausha kwa taulo/ kanga safi.pia kuvaa epuka kuvaa chupi zenye material ya mpira ambayo husababisha unyevu zaidi(coz...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania zawadi wapendazo mabinti na watoto wa kike

    Dah!nimeipenda hii watu8.
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je Hii Ni kawaida kwa mchuma au mke au ?

    Kaka pole,wivu ktk mapenzi upo naniishara ya upendo wa dhati kwa mwenzio,ila nahis huo wivu wako unaupeleka mbali zaidi nakuhis wanaweza kua na mahusiano jambo ambalo linaweza kua linazidisha argument zenu.as long as she is there 4u in everyway kama ulivosema ni swala tu la kumueleza kua hupendi...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje wadada wanaona aibu kuchunguliwa papuchi zao wawapo kwa bed?

    Ha ha haaaa! bora useme wewe wengine hadi wanalia kwa utamu mchana huu "inatisha?"
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya "Dondosha mkono sweta" ndio suluhisho la kupunguza kasi ya maambukizi ya VVU?

    Hivi viashiria vyakuzaliwa kwa mahusiano yasiyo rasmi ni vipi mkuu?nadhani ingekua vema zaidi kama ungeshauri elimu itiliwe mkazo zaidi kuhusu madhara ya ngono zembe na ukimwi.kondom zinawezakupatikana kwa wingi na zisitumike vilevile.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

    Ha ha haaa!! Hajui huyu!
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haka katabia ka wadada kananikera sana!!!

    kweli kabisa
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hanitaki sijui nifanyaje

    Kaka pole sana.Kama umejitahd kwa muda mref bla mafanikio bas uyo dada hakupendi.nakushauri upotezee kama alikua anakutest ukmpotezea ataktafta yeye.ila ukiona kimya basi akupend na hakuhtaj.mapenzi hayalazimishwi kakangu,tulia utampata ataekupenda kwa dhat.
  11. B

    JamiiForums Tanzania msaada please.

    Sheria ya ndoa ya tanzania inazungumzia dhana ya ndoa(pressumption of marriage) ni pale m'me na m'ke wanapoishi pamoja kama mume na mke na jamii ikawapa hadhi ya wanandoa kwa muda wa miaka 2 na zaidi na c miez sita kama ulvojibiwa. Kwakuwa hii ni dhana tu hvyo yaweza kukanushwa na mmoja wenu,na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nishauirine kiungwana na kisheria juu ya hili la kuombwa talaka

    katika kufungua shauri la madai ya talaka mahakamani ni lazima applicant awe na form namba 3 au barua toka baraza la usuluhishi itakayoelezea kua baraza hlo limewasuluhisha na kuona kua ndoa yenu haiwez kurekebishika tena,mabaraza hayo ni BAKWATA kwa walofunga islamic marriage,kanisana,baraza...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaj mume!

    umeona eeh!fazaiko la moyo noma lara.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaj mume!

    Mkristu,(hofu ya Mungu ndani yake)mwenye shughul halali yenye kuingiza kipato(employed/not employed)umri 30 yrs n above,mwenye kujitambua.elim kuanzia dploma/form 6 n abov mi ni graduate so tsiachane kivle etc.
Back
Top Bottom