Recent content by Bi dentamol

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

    Huyu kungekua hakuna hukumu ya kuua ningemuua kwa mikono yangu
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuwa na mahusiano na kuishi single?

    Aisee laiti ningejua nisingeolewa...nilikua na hatua 5 ya maisha now nimerudi 0
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwa nini wadada wa kichaga hawana mapenzi ya kweli?

    Ha ha ha
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Iwish ungejua napitia nn, usingen beza
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Du!!
  6. B

    Kitu kama kipi kiutafutaji nina pharmacy
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Sasa huu kaka sio uke wenza nilijaribu pia kumwambia kama mimi sifiti aoe mke mwingine kuliko huu udhalilishaji anaoufanya.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Mimi sasa nimeingiaje kwenye haya matukio?
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Sijakuelewa et
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Sasa hapa mi nimefanyaje?? mi nimekosewa lkn
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    means wanawake tumeumbiwa kuvumilia tu haya maumivu jaman???
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Kwamba mwanaume hana kosa?
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Asante
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo?? Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn...
Back
Top Bottom