Recent content by Bhisumbinyama

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais hamuamini Makamu wake?

    Wewe hujielewi. Makamu hufanya kazi anazotumwa na Rais. Sasa kama Rais kaona afanye mwenyewe jukumu fulani ndo kutomwamini makamu? Acha uchonganishi kijana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi

    Si bora magaidi kuliko watoa baraka wa Vatican. Mumekwisha aisee.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi

    Sasa ulitaka ateue watu mnaobariki ushoga?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kifo cha ACT Wazalendo ni "Poor parenting"

    Sufian una shida sana. Kwani chama kuwa na uwezo wa kupata wabunge pemba ,unguja na bara ndo kufa huko?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jokate na Lulandala kuimaliza CHADEMA! Nawaamini kwa mipango na Propaganda

    Japokuwa siwapendi CHADEMA lkn hapa umeongopa. CHADEMA si chama cha kumalizwa na mlimbwende. CCM wajipange vema.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Kusema amechoka ni dhana hasi. Mama hajachoka na anaendelea kupiga mwingi. Ni yeye mpaka 2030 inshaallah. Akitaka ni Hussein Mwinyi kisha January Makamba. Imeisha hiyo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Duh! Sasa povu la nini bwanamdogo wa mtego wa noti?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

    Kwani nani kakudanganya kuwa mama ana uwezo duni?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Kwa sababu ratiba Alibaba sana hakukuwa na muda wa kutosha halafu machege umbea.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Martin Maranja Masese

    Kwa hiyo na nyie CHADEMA hii ni habari?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamtuma Mchengerwa kazi ya kusimamisha watumishi kazi? Mbona huko wizara nyingine hakuwa anasimamisha watu kazi? Hizi tume zake anazilipaje?

    Kwa hiyo kwa kuwa umesimamishwa kwa ufisadi wako ndo maana unapiga kelele siyo?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Eti amechoka mwee! Mama yupo sana kijana mpaka 2030 inshaallah.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Insha ALLAH na uwe hivyo na akimaliza tu achukue dkt Hussein Mwinyi kisha January Makamba.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Hata kama ni mlevi lakini bora uvumiliwe kwanza DSM ili adili na walokole na makanisa yao ya vurugu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Yaani wee jamaa wewe eti Ustadh Abubakar Mbowe wakati mbowe ni mgalatia! Mweee!
Back
Top Bottom