Recent content by Betheli

 1. B

  Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

  Huu mtindo wa wapinzani kuiga siasa za nchi za wenzetu ndiyo sababu ya hali hizi zote.
 2. B

  Ushauri wangu: Ningependa Madaktari wa kiume wasiwe wanazalisha

  Hivi kwa nn madokta wa kike wana lugha ya shombo wakati wa kuzalisha? Ni wivu au?
 3. B

  Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

  Hizo sehemu pia inasemekana zina mambo mengi ya Gamboshi, unaweza usione miji yenyewe ukaona mbavu za mbwa tu. Hivi kweli kama watu wanamaendeleo ya kweli wanayoyasema baadhi ya wadau wa Uzi huu utaacha kuyaona kwa macho kweli. Kwa nn wakimbie barabara? Hao watakuwa .........!
 4. B

  Serikali idhibiti uoneshaji wa video kwenye mabus ya abiria

  Waonyeshe nyimbo za injili zimetulia kuliko vigodoro na movie za aibu
 5. B

  Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

  Hivi kuna nçhi iliyowàhi kuendelea kwa Kwa mfumo wa demokrasia duniani?
 6. B

  Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

  Kumbe weshazoea kutupumbaza wananchi kwa takwimu za kupika na kupotosha ili tuichukie serikali na ccm kwa manufaà yao! Kwa JPM mmeulà wa chuyà.
 7. B

  Yusuf Manji akamatwa kutokana na malimbikizo ya kodi Tsh 300 milioni, ofisi zake zafungwa

  Nenda tra upate list la wadaiwa huyu ni kwa kuwa anaandikwa.
 8. B

  Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari za Uongo (Oct 2017)

  Mimi hata huwa sisomi uzushi siku nyingi, hayana Habari za maendeleo.
 9. B

  Ni nani anasimamia upangaji wa route za Usafiri wa Dar es salaam?

  Nakumbuka zamani alikuwepo mzee mmoja wakati wa tume ya jiji la Dar es salaam kwà Jina kama sijalikosea Mwaibula huyu mzee alihusika sana kupanga usafiri wa daladala jijini pamoja na kubuni mistari ya rangi za daladala zinazotumiwa siku hizi hata sare zinazotumiwa nà makondakta alihusika...
 10. B

  Peter Msigwa: Kazi ya kiongozi wa upinzani ni kuwachochea wananchi waione Serikali haifai

  Mafisadi na watoa rushwa wanapokaribishwa na wanapopokelewa upande wa pili!
Top