Recent content by BestOfMyKind

  1. BestOfMyKind

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nilikosea sana kuhoji Dr. Samia kupewa kijiti. Niwieni radhi wanachama wenzangu. Sababu kwanini Dr Samia aendelee bila kupingwa: 1. Hakuna rais mpya atakaekuja kupambana ili amalize miradi ya awamu zilizopita. 2. Rudia 1, halafu kumbuka uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora. 3. Rudia 1, sgr...
  2. BestOfMyKind

    Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi?

    Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri. Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani. Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
  3. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    Sio kwamba rais kutolewa mahari au kuolewa ni kosa, je tunashawishije watu waliotoa mahari za wake wawali au watatu wakampigie kura mtu aliyeolewa?
  4. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    Ndugu yangu, sisi hatujawahi kuwa vizur kiuchumi.
  5. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    Demi , wanawake mnafanya mengi tu ya maana. Hata Dr Samia I am sure amefanya mengi ya maana, hoja yangu mimi ni namuombeaje kura kwa watu wanaoona wanawake hawatakiwi kuongoza wanaume?
  6. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    Hapana, uislam ni dini nzuri sana. Hoja yangu mimi ni kwamba, kama mwanachama wa CCM inakua ngumu kumshawishi imam mwenye wake wawili na anaeamini "arijalu qawamuna ala nisaa" - "" Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke"" ampe kura mwanamke ili aongoze. Mwanamke ambae hata kwenye mimbar hawezi kusimama.
  7. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    CCM naipenda ila tunaenda kubaya Mama D.
  8. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    Sijakuelewa mama d. Mimi ni Mwanaume. Ngoja tuone mwisho wa CCM ya Samia
  9. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    Mimi nina kadi ya muda mrefu. Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali. Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili...
  10. BestOfMyKind

    Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

    CCM tumelikoroga ila kulinywa hatuwezi. Mgombea yupo slow miaka minne hakuna hata moja la maana lakumbeba. Mimi ntapiga kura ya hasira ili tu ccm wakose.
  11. BestOfMyKind

    Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

    Mkuu mimi mwenyewe ni CCM ila mwaka huu tumefeli. Samia hatoshi kuwa kiongozi wa chama. Yaani tumeishi nae miaka minne, kwa namna tulivyoishi we unaona ni sawa tuishi miaka mingine mitano hivihivi? Mitanoo?
  12. BestOfMyKind

    Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

    Mwaka 95 chama kilipopata shida hii, waliweka mdahalo. Mwaka huu wakiweka mdahalo ccm tumekwisha.
Back
Top Bottom