Recent content by Bestfruits

  1. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Mambo bado mazito majadiliano ya makinikia,Barrick yaongeza wajumbe kukabiliana na hoja za upande wa Tanzania

    Hama nchi, Nenda Kenya Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Bavicha hapa hawaji, wanapita kuleeeee! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo awataka wananchi kutulia wakati vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi yake

    Nonesense! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Kulikoni wananchi wengi hawamuungi mkono Rais Magufuli katika "vita yake" ya kiuchumi, wanaona sababu haziridhishi!

    Pambana na hali yako, ya ngoswe mwachie ngoswe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Nonesense!, rubbish. Makonda atawawakondesha Kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha lawama nyingi ni kutokana na watanzania wengi kutoifahamu serikali yao

    Naunga mkono hoja! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Tunajidai tuna siri na ulinzi wakati tunaonekana hadi vyumbani na marekani zaidi ya miaka 50 nyuma. Wanajua kila kitu

    Nenda ukaolewe na marekani. Kila kitu marekani, Wewe mwenyewe Unaishi shimo la udongo, ebo! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?.

    Kaka sikendo walizotegemea kuuzia sura Magufuli anazifanyia Kazi kwa weledi Sana. Kwisha habari yao, ndo maana wanaona soo! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani, ndani ya muda mfupi amejaribu kuonyesha kwamba ni kiongozi ambae anataka mabadiliko makubwa ya kiuchumi yatokee Tanzania. Ili mabadiliko haya yaweze kuleta matokeo chanya, rais Magufuli alianza kwa kurudisha imani ya serikali kwa kudhibiti watumishi...
  10. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili(TV) wanakwepa habari za siasa Tanzania,je wanatumika na CCM?

    Utafaidika na nn wakirusha? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwenye vita huwezi kuwa msaliti, halafu ukawa una-survive tu

    Kutokana na hii picha na maelezo Rais Magufuli, Tundu Lissu Kumbe msaliti? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumuua Lissu: Wanasheria USA wataka uchunguzi huru

    Umezaliwa mwaka gani? Kama hujui nyamaza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumuua Lissu: Wanasheria USA wataka uchunguzi huru

    Wapambane na hali yao, nafikiri nguvu zao wangeelekeza Korea kaskazini Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Waliomshambulia Lissu watajulikana muda siyo mrefu

    Ni wenyewe wanajibaraguza Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bestfruits

    JamiiForums Tanzania Lowassa amtembelea Mhe. Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Endelea kukaririshwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom