Recent content by Best Best

  1. Best Best

    Niulize chochote juu ya udereva wa magari madogo na ya kati

    Mimi naomba kujua wadau wa usalama barabarani kwa ujumla wake... Kwa mfano wizara ni ipi? au polisi ni kitengo gani? Na kama ni vibali vya usafirishaji je ni nani wanahusika? Leseni zinatolewa na nani? Je alama za barabarani zimebuniwa na nani? Kama umenielewa nahitaji msaada wako ili kupata...
  2. Best Best

    Jinsi ya kupata wazo la biashara

    Idea zipo nyiingi mno kwa huo mtaji na zenye uhakika wa kukuzalishia pesa kama hyo mara 3 hadi nne ndani ya mwaka mmoja... Jambo msingi hapa nikushauri ya kuwa ondoa mawazo ya kurithi au yale mawazo zoefu jitahidi kupokea mambo mapya na kuyafanyia kazi pia jitahidi kuzichukua changamoto za watu...
Back
Top Bottom