Shida ni kuwa natokwa na vipele ambavo vinaweka usaha ndan zen vinapasuka na kuniacha Kama ivo mwanzo tatizo lilikiwa ni lamsim yaan masuka tyuu Sasa nahc baada ya kukomaa maana ni Kama miaka 12sasa imekuwa ni frequently hospital nimepima vinyama nmetolewa lkn shida hakuna Zaid ya kuwa nmeambiwa...
Ni vipele dear vinatoa usaha na kuwashwa snaaa inaonekana kuwa vinyweleo havipat nafas ya kupenya kutoka nje hivo badala yake vipele ndo vinatoka na kuniacha ivo
Sikumbuk Zaid lkn nilikuwa na umri wa miaka Kama kumi namkubuka nilikuwa na vinyoleo miguun so nikavikata na kiwembe japo Sina uhakika Kama iyo ni sababu
Jamani msaada nina shida ya ngozi, ni miguu tu. Nimeshatembea hospital nyingi kama KCMC kwa maspecialist lakini wapi, dawa za kienyeji wapi
Msaada japo nikikalibia period ni shida zaid, ni vipele vinatoa usahaa na kuniacha kama hivo sasa hivi situmii mafuta yoyote zaid ya dawa ya hospital na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.