Recent content by berthold

  1. B

    Huu ndiyo ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Sasa Dr naye mbona anauchuna...si aseme mwenyewe
  2. B

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    siafiki PONDA kupigwa risasi vile vile siafiki kauli zake za chuki za kutaka taifa zima liwe na dini moja
  3. B

    Kenyatta wa Kenya - Mtoto wa nyoka ni nyoka tu

    Resources zinaisha ,matunda bado hatujayaona..50yrs now...kwanini hatubadiliki..wananufaika wachache .wengi wanaumia...hata kama nchi zima ingekuwa imejaa dhahabu mpaka juu kama hazitusaidii basi ni ufahari wa kijinga kujivuna nazo..:
  4. B

    Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

    bora umeliona hilo big up
Back
Top Bottom