Recent content by beretta

  1. B

    Misamiati kwelikweli!

    Haggle => Kubishana kwa ajili ya bei ya bidhaa I know they will haggle over the price of tomatoes. => Najua watabishana kwa ajili ya bei ya nyanya. Slump => Kushuka kwa ghafla I am worried that the Microsoft stock will slump. => Nina wasiwasi kwamba hisa ya Microsoft itashuka bei. If he...
  2. B

    Utafsiri

    Indeed Mtu huyu ni mwerevu. => "This person is clever." Mtu huyu ndiye mwerevu. => "This person is indeed clever." Mystery => Fumbo Mpelelezi aliweza kulifumbua fumbo. => "The investigator was able to solve the mystery." Boom - Najua maana tatu za "boom": "Boom of a sailboat" ni boriti...
  3. B

    Haya maneno yanatofautiana nini?

    Kwani hakuna yeyote aliyejibu, nitajaribu: 1.Hotel -> Hoteli 2.Motel -> Hoteli kwa wenye magari, yenye milango yote nje ya jengo kurahisisha kuingia na kutoka 3.Cafe -> Mgahawa wenye kahawa, chai, na chakula cha asubuhi 4.Restaurant -> Mgahawa wenye chakula cha jioni, na labda chakula cha mchana...
  4. B

    Naomba msaada kutafsiri "to be given"

    Habari zenu wanachama, Tafadhali zingatia tafsiri hizi: "I gave my brother a bicycle" => "Nilimpa kaka yangu baisikeli" "My brother was given a bicycle by me." => "Kaka yangu alipewa baisikeli na mimi." "A bicycle was given to my brother by me." => "Baisikeli ilimpewa kaka yangu na mimi."...
  5. B

    Hard vs Difficult

    As adjectives applied to a task or an action, they are exactly the same: "This is a hard test" = "This is a difficult test" = "Huu ni mtihani mgumu" "It was hard to climb that hill" = "It was difficult to climb that hill" = "Ilikuwa vigumu kupanda kilima kile" I would choose...
  6. B

    Msaada wa tafisiri

    "Columnist" ni mwandishi ayaandikaye makala gazetini, kwa kawaida ayaandika hayo makala kila wiki au kila siku. Mzizi wa neno ni "column", kwani ufafanuzi mmoja wa "column" ni makala mafupi yaandikwayo kila wiki au siku. "Pattern" ni neno lenye fafanuzi nyingi. Nomino au hata kitenzi. Kwa...
  7. B

    Maswali ya msamiati: "lebasi", "akhiri", "ihsan"

    Wakati nikisoma kitabu cha shule, nilikuta maneno matatu ambayo sikuweza kuyatafsiri kutumia kamusi kadhaa. Naweza kukisia maana yao, lakini naomba ufafanuzi sahihi. Lebasi (Labda ni aina ya nguo, au kitu kingine?) Sentensi: "Basi alivua lebasi ya huzuni, akavalia lebasi ya kifalme."...
  8. B

    Wanafunzi wa Kimarekani Wakiendesha Mdahalo wa Urais wa Tanzania kwa Kiswahili

    Asante. Nimeona chanzo cha video - Indiana University Bloomington. Mnaweza kuona tovuti ya darasa hili katika Swahili Flagship Center: Indiana University Bloomington
  9. B

    Wanafunzi wa Kimarekani Wakiendesha Mdahalo wa Urais wa Tanzania kwa Kiswahili

    Je, unajua wanafunzi hao wanafundishwa katika chuo au shule gani? Na wapi? Mimi ni mwanafunzi Mmarekani wa Kiswahili pia, na naweza kukuambia ndiyo ngumu sana kuona mwalimu wa Kiswahili hapa. Ningependa kujua zaidi kuhusu hilo darasa la Kiswahili.
  10. B

    Hadithi Kali: Kilele Kiitwacho Uhuru

    Kweli, unajua kuhusu jamii ya Kiswahili Marekani? Mimi ninaishi Sacramento, California. Ningependa sana kuona chama cha wasemao Kiswahili hapa. Marafiki zangu wote wasemao Kiswahili ni Watanzania, wanaoishi Tanzania. Nimewauliza maswali mengi ya Kiswahil (kwa barua pepe), lakini ingekuwa...
  11. B

    Hadithi Kali: Kilele Kiitwacho Uhuru

    Sawa mwalimu, nitaendelea kufanya kazi yangu ya nyumbani. :) Lakini, kwa bahati mbaya, tangu niliporudi nyumbani Marekani sina majirani wanaoweza kunisaidia na Kiswahili! Labda wanachama wengine wa JF wanaojaribu kuboresha Kiswahili chao watatoa mawazo yao juu ya msamiati wako wa juu, ili...
  12. B

    Hadithi Kali: Kilele Kiitwacho Uhuru

    Nilifurahia hadithi yako ya basi - na ninasubiri kwa shauku kusoma sehemu ya pili. Lakini mimi ndiye mwanafunzi wa kiswahili tu, na nina maswali machache kuhusu msamiati wa hadithi hii. Labda una nafasi kuyazingatia yafuatayo: 1. Uliandika "kutengemezwa". Labda ulikusudi kuandika...
Back
Top Bottom