Recent content by beresha

  1. B

    Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

    Ukiona jina linaitwa Juma..ni kusamehe tu!huwa ingia toka upstairs
  2. B

    Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

    Acha kusingizia pombe na ujinga wako!yaani kwanza hajalewa vizuri maana inampa material ya kiwango cha PHD!mwambukusi ongeza kinywaji nakuja kulipa!
  3. B

    Wakili Mwabukusi kumburuza Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndani ya siku 7

    Sio pono huu usingizi wa ng'ada!kuna mtu ametupeleka rehab!hatunaye lakini afadhali alituambia.ukweli sasa usingizi unakata!
  4. B

    Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Aibu mpaka leo hawatotoka kwenda kilabuni kunywa ulanzi au komoni!mbuzi wao waliouza mtoto akasome ni hasara tupu!
  5. B

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

    We have calculated the cost,and were ready to pay!not necessarily money remind you!
  6. B

    Upo uwezekano mifumo ya bandari inahujumiwa kubariki uwekezaji tarajiwa?

    Ukifanyikiwa tu wanakuja Dubai kukuchukua wewe na bonde lako!SOLD OUT!
  7. B

    Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    If we don't handle our independence very well,colonizers will come back in form of investors
  8. B

    Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

    Hapo mwenyekiti tunaenda sawa,aliyekufufua abarikiwe sana!
  9. B

    Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Wayauze hayo majengo huko dar,kama waliweza uza nyumba za serikali nchi nzima hayo majengo yanawashinda nini na watu wenye noti wapo?acheni.wivu Dodoma kimeshaeleweka na imeshaisha hiyo!period
  10. B

    Magufuli ni utitiri aliyembeba tembo kwa spidi ya cheetah

    Hii itabidi ichapwe kwenye gazeti la serikali!bravo
  11. B

    Naibu Spika Zungu: Nape wewe ndiyo mwokozi wa nchi hii, tunakutegemea

    Hawa ndo urithi tuliopata balaa kuachiwa nchi hii,Nape,Zungu,Mwigulu!
Back
Top Bottom