=Kiwanja kipo ukonga mongolandege
=Maji yapo ni mtu binafsi anaunganishia wanaohitaji, mita 50 kuna jirani zangu wawili wameshaunganishiwa maji, itakuwa rahisi kufika kwenye eneo husika.
=Maeneo yote yamejengwa tayari isipokuwa mie, na yanapitika kiurahisi hata ukiwa na gari njia zipo mbili...