Recent content by bepari la kichaga

  1. bepari la kichaga

    Naomba Ushauri, Mpangaji wangu 'kaniblock'

    Mwite mjumbe bomoa komeo toa vitu vyake weka stooo pangisha chumba upyaaa
  2. bepari la kichaga

    Naomba Ushauri, Mpangaji wangu 'kaniblock'

    Huyo ruka nae chap, mm nakula kichwa chap Bora upokee cm nipigie kiswahili ntavumilia sio huo usenge
  3. bepari la kichaga

    Nilimsomesha chuo akaniacha na kwenda kuolewa mke wa pili

    Mbona tulikubaliana mchumba hasomeshwi ??
  4. bepari la kichaga

    Kero ya kukuta mtu kakaa kwenye siti yako ya dirishani kwenye Bus.

    Mm nlikata ya sgr nikakuta limshangazi limekaa alooh nlimind kinoma, alafu sasa ukilichek Wala halijigusi alafu kubwa jeusi sjui mnaelewaaa situation
  5. bepari la kichaga

    Sikutegemea nilichokikuta ukweni

    Huko mahari sio kubwa
  6. bepari la kichaga

    Sikutegemea nilichokikuta ukweni

    Mpe mimba chap watamleta wenyewe
  7. bepari la kichaga

    Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

    Kwa ulivyo ainisha hata akirudi hakuna rangi utaacha ona aseh ww msepeshe tu for gud
  8. bepari la kichaga

    Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Hayo mashangazi yalikuponza
  9. bepari la kichaga

    Dada aliyelalamika mtandaoni kuwa wanaume ni mbwa kumbe alifanywa kitu mbaya

    Haka katakua kameliwa marinda sio Kwa uchungu huo salalee
  10. bepari la kichaga

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Kama anauwezo wa kumlipia nyumba nzima mchepuko then atafute mtu mzima mmama awe nani amlelee watoto simple tu ahakikishe Kila kitu ndani kipo then ayajenge na mkewe when watoto washavuka angalao five years
  11. bepari la kichaga

    Eti nisipompa hela ya mboga, Kama vipi tuachane

    Huyu mwanamke kunakitu anakuja hujawai kusema aseh sio kwa kelele hiz alafu Bado uko nae, wanaume hatupendi kelele hasa za pesa Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  12. bepari la kichaga

    Tukutane hapa wale ambao tunapigwa vizinga na Mbususu hatupewi

    Chai jabaaa Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  13. bepari la kichaga

    Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Mwenzako hajafanya Siri ebu na ww muweke wazi tuone Mambo yanaendaje!! Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  14. bepari la kichaga

    Krate za bia TBL na SBL zinahitajika Dodoma

    Dodoma sehem gani Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  15. bepari la kichaga

    Safari za Kanda ya Ziwa

    Kumbe basi nalo hututoka duh Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom