Recent content by Bepari la bariadi

  1. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Siyo kila jukwaa la kututangazia ushoga wako wee bwabwa. Hii ni jukwaa la wenye mtazamo wa kiume.
  2. Bepari la bariadi

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Pole mbwa kachoka. Mzimu wa Magufuli unakufirimba kila siku usiku. Pole sana aisee
  3. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Unajua kunavitu havihitaji hata bajeti ipitishwe na madiwani. Nivitu vya dharura. Na Kuna maafisa afya they are paid.
  4. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Yaani watu hawapo responsible kabisa. Sikuwahi fikiri kama kungekuwa na upumbavu wa namna hii. Socket nyaya zipo wazi zimeharibika no preventive maintainance?
  5. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Bora huko ni upcountry hakuna population kama hii hapa. Sasa hapa kweli mtu anaishia kuomba samahani Daah! Kama huyo mtu anaharisha?
  6. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    You can imagine mtu na nyumba yake moja anakiwa na visima hata viwili Sasa stand kama hii inainginza how much per hour? This is pathetic
  7. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
  8. Bepari la bariadi

    Kishindo: Bavicha Wafika Chamazi Complex kushuhudia Mechi ya Azam dhidi ya Simba

    Dogo Kuna fyuzi moja kwenye ubongo wako imefyatuka situka mapema. Hiyo unayoiona na kuihisi is just illusion Mwenyekiti wa vijana kiatu limejaa vumbi kama alitembea kutoka Buza kwa mama kibonge mpk kwa mbiku 😂😂 Pia hayo makofi ulitoyaaikia yanapigwa ni hallucinations
  9. Bepari la bariadi

    Mwisho wa CCM umefika na hata 2025 Rais Samia hatokuwa Mgombea wa CCM

    Nyie NYUMBU kila siku mnatabiri mwisho wa CCM TU tokea 1995 au ndiyo ile ya mkuu wa ukoo wa nyani kila siku anaahadi kesho atajenga kisa mvua inanyeshea wanaukoo? Ikikatika ni business as usual
  10. Bepari la bariadi

    Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Ndugu Gentamycine antibiotiqe popoma wa mapopoma.kwa thread hii ya leo. Nakupa salute ya heshima ya juu zaidi. Tulikuwa tunamwelewa JPM Na tutaendelea kuielewa Hadi mifupa yake ni wale pekee tulio naIQ kubwa tu. Wazalendo na wafia nchi Kama Mimi. Salute to the true son of Africa,the Great JPM
  11. Bepari la bariadi

    Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

    😂😂 Sijawahi kutana na mwendawazimu wa kiwango hiki tokea misingi ya dunia iundwe. Kweli nimeamini kua uyaone. Hata watoto wanakufa chini ya Miaka mitano nao walitenda dhambi mpk zikawapungukia Miaka ya kuishi? Kweli taahira huona kila mtu ni tahira. Good morning moron
Back
Top Bottom