Recent content by benylass

  1. benylass

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusulubiwa vikali kwenye mdahalo

    hahaaaa......lowasa ni maarufu sanaa.....kila mahal anatajwaaa....
  2. benylass

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    kabla ya kusema mabaya ya mwenzako,angalia ya kwako kama yapo sawa...hakuna binadamu aliyemtakatifu
  3. benylass

    JamiiForums Tanzania Lowassa akumbwa na aibu ya Jangwani Mpanda - Katavi tena

    huyu mtu ntamweka serooo
  4. benylass

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    mbona mtatiro kamtuliza tu huyo polepole....tatizo siku ile alimpata msigwa akapata mteremko...leo kapata size yake
  5. benylass

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa viganja vya mikono....hata goli la mkono hapo ni kazi kufunga....
  6. benylass

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kikao cha suluhu kati ya Dk. Slaa na Mbowe

    tupe summary yake...
  7. benylass

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusimamisha Jiji kwenye uwanja wa Taifa tarehe 8 Agosti, 2015

    saa ya ukombozi imewadiaaa.....
  8. benylass

    JamiiForums Tanzania Wassira uko wapi ututabirie tena?

    hali yake sio nzuri kwa sasa
  9. benylass

    JamiiForums Tanzania Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    ikitokea hajafanya hayo uliyomtabiria wewe....tukuchukuliaje wewe.....??
  10. benylass

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

    siasa za mwaka huu ni za aina yake...tutashuhudia mengi sana...
  11. benylass

    JamiiForums Tanzania Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    huo ni upepo tu....adui yako mwombee njaa tu...hizi ndo siasa za kuamini katika fikra za mtu mmoja....nani amempa hatimiliki ya kuwa raisi wa nchi hii na si mwingine yeyote....
Back
Top Bottom