Recent content by benwise

  1. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Ni kweli lakin bado kwenye dunia hii wapo wengi wanaohitaji wa kuwashika mkono japo utapeli ni mwingi pia,ila haimaanishi wahitaji hawapo,mi naomba mwenye moyo wa kuguswa afanye kwa mapenzi mema
  2. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Nipo tayari kabisa,hata leo hii
  3. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Asante sana ndugu
  4. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Yaan hapo ndio utata unapoanzia maana siwezi kupata hata laki 3 kwa njia hiyo, wengi wa cycle yangu ni mtu kajitahidi sana kakuazima elfu20
  5. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Sijawahi kabisa,hata milion ya kwangu/mkopo sijawahi kumiliki kwa njia yoyote bado
  6. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Asante kwa kunitia moyo
  7. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Kwa situation niliyonayo itanifaa kabisa huku nikiilipa kidogo kidogo baada ya kuiingiza kwenye biashara
  8. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Hapana, mpaka nimeandika huku ni kwa wema tu maji yamenifika shingoni
  9. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Ndio,nina uhakika na hilo na nipo tayari
  10. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Yaan shida ndio inaanzia hapo maana taasisi zinahitaji dhamana kitu nnachofeli kwa sasa
  11. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Hizo ni imagination tu mkuu
  12. benwise

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata 1 milioni ya dharura kwa njia ipi ya haraka

    Habari wakuu,nina shida sana ya pesa kuanzia milioni 1 kutokana na mkwamo wa uchumi nilio nao, lakini bahati mbaya kwa sasa watu wanaonizunguka pamoja na ndugu zangu hakuna mwenye uwezo huo na sina mali inayoweza kuwa dhamana kwa hiyo pesa hali inayopelekea kupata mfadhaiko wa nafsi. Najua mpo...
  13. benwise

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

    Kwenda chuo cha driving na kupata leseni nikiwa na miaka 20 na kitu matokeo yake nimefika mpaka 30 na Sasa ndio nimegundua kama ningefanya hivyo ningekuwa mbali sana muda huu,badala yake mda huo nikawa nasoma kozi ambazon Sina future nazo mpaka sasa
  14. benwise

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform no election
Back
Top Bottom