Recent content by benson mwelela

  1. B

    Mungu Yuko wapi?

    Ndugu kaa na ufikiri kwa makini,hivi ulishawahi fikiri wewe kuwepo duniani nani sababu ya wewe ulivyo?wewe ulishawahi fikiri ulitoka wapi?ulishawahi tafakari huu uumbaji wa Mungu ulivyo?ndugu tafakari,usijivune mwamini na mwabudu Mungu yeye ndiye kila kitu usifanye moyo kuwa mgumu utajua siku moja
  2. B

    Rais Samia apokelewa Kifalme China

    Wanajua kuna faida wanaipata hapo ndio maana wamempokea kifalme
  3. B

    Kusaidia watu hapa JF ni sahihi au si sahihi?

    Usichoke kusaidia wengine kwa sababu ya mtu mmoja alieharibu,nimekunukuu katika hii story unasema "mlipaji ni Mungu"so usisite kusaidia wengine hata asipokulipa wema huyo unajiwekea akiba,wema ni akina na Mungu huwa hasahau kamwe,kama hutalipwa wewe,atalipwa mwanao nk,endelea kutenda mema ndugu!!
  4. B

    Nimepata uzoefu kuzuia wizi wa mtandaoni

    Matapeli wanakuja na njia mpya kila siku kwa hiyo katika hilo hakuna uzoefu
  5. B

    Naapa kujiua

    Usikate tamaa,vumilia,kujiua ni hasara ya nafsi yako milele,humkomoi mtu,jipe moyo,pambana kiume,maadam wewe umeona katika familia kuna umaskini,sasa sikia Mungu anataka wewe upambane uitoe familia hapo ilipo na kuiandikia historia mpya,jipe moyo unaweza,jiulize ukikata tamaa wewe unawaangusha...
  6. B

    Serikali ije na mkakati mkali wa kupunguza kasi ya kuzaliana bila hivyo hili taifa litaangamia

    Sana Tanzania tumerundikana tu baadhi ya maeneo hasa mijini,lakini ukianza kusafiri ndio utajua kuna mapori mengi yapo tu na hayana kitu chochote,Tanzania bado hata robo ya hayo maeneo hatujaifikia
  7. B

    Serikali ije na mkakati mkali wa kupunguza kasi ya kuzaliana bila hivyo hili taifa litaangamia

    Unadhani serikali ifanyaje ili tusizaliane?je iweke sheria kila mtu awe na mtoto 1 au?na kingine hakuna anaezaliwa kwa bahati mbaya,kila anaezaliwa na kupata nafasi Mungu tayari ana kuwa ana kusudi nae tayari,sasa endapo tutataka kupingana nae sawa,tutapigwa mapigo makubwa sana,na hakuna wa...
  8. B

    Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

    Bajeti inategemeana na maeneo au kipato cha mtu kwa siku au kwa mwezi,mfano kwa wanaoishi kijijini bajeti yao huwa si kubwa sana,anaweza kuishi hata wiki bila hela kwani vitu vyote vipo shambani nk,ila kwangu mimi ninaeishi mjini kwa kipato kidogo bajeti ya siku ni elf 10
Back
Top Bottom