Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.
Inauma sana, kuna mtu anaitwa Yona Nyingi nilisoma naye chuo, akapata kazi Moshi akiwa Mbeya akawa hana nauri akaomba nimuazime nauri nikampatia na ya kula kabisa. Lakini baada ya kupata akajizima data kabisa, nikimucheki ananiambia nitakupa tu, niliamua kumusamehe ila nikikutana naye Facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.