Recent content by benosea

  1. B

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    No, Hakuna taasisi au mamlaka yoyote imethibitisha kuwa mtu anaitwa Bashite katika serikali ya Awamu ya Tano. Tuache ushabiki tuseme Ukweli kuwa ni Makonda. Na hakuna raia Mwema anakubali baadhi ya watu kutendewa haki na wengine kutotendewa haki kwa jambo moja tu la Watumishi hewa, vyeti feki na...
  2. B

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Namuombea ila akubali kushaurika kama anavyowataka wengine kushauriwa
  3. B

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Usitafsri kama siasa, wala mikataba, wala mahusiano ya kimataifa, angalia nafasi yake, kazi zake, maneno yake nk. Kama anataka aikosoe serikali basi afanye hivyo siyo kuwa point watu fulani kisa wamemsema. Mikataba ni issue za kiutawala achana nazo katika post hii.
  4. B

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Hapana, hatukatai kukosoa na kuelimisha ila siyo kwa namna hiyo. Tena kwa mtumishi wa Mungu anayetakiwa kuwa mpatanishi wa makundi hasimu.
  5. B

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Ninaitwa Benedicto kutoka mkoa wa Kigoma. Ni raia mzalendo wa Taifa na Nchi yangu ya Tanzania. Sina budi nami kufikisha fikra zangu kwa yale ninayoona yakiendelea katika taifa na nchi yangu. Kusema kile kinachouumiza moyo na nafsi yangu, huwa ndicho chanzo cha kuyafanya maisha yangu kuwa huru...
  6. B

    CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

    Potosheni wajinga, ccm siyo dili kwa wajanja.
  7. B

    Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    Mbowe mashine, mchana na macho yake maana yake utaijua ukiwa mkubwa.
  8. B

    Kamati ya Kampeni ya CCM kuongea na wanahabari kupinga kauli ya Jaji Lubuva kutoa matokeo vituoni

    Ukisikiliza mpuuzi kama Uko wa Makamba, unaweza onekana mpuuzi pia. January kwa nini usijiweke kando? Mbona umri wako Bado mdogo? Baadaye tungekuona wa maana sana lakini ukilikoroga mapema tutakutolea uvivu. We endelea na upuuzi kama siyo msomi.
  9. B

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Wapumbavu huwaza unafiki na ubinafisi. We mwenyewe unayesema Lowassa fisadi na mwizi, ni vibaka namba 1 kuanzia ktk familia yako leo eti Lowassa fisadi. Ulijuaje kama wewe siyo kinyambe? Muwe na adabu washenzi wakubwa. Tembo, Twiga, Magogo, escrow, minofu, Korosho, pamba, mamilioni ya Jk nk...
  10. B

    Ukweli Ni Kuwa, CHADEMA Wameandaa Hafla Ya Kuchangisha

    Tutachangia kwa sababu mabadiliko tunayataka sisi. Hata injili huchangiwa.
  11. B

    Magufuli ametumia muda mfupi sana kuivuruga ngome ya Lowassa

    Unajifariji Magufuli kasha katwa. Lowassa president wa Tz 2015-2020
  12. B

    Dr. Magufuli na Mama Samiah kutogusia katiba kwenye mikutano ya kampeni, Nini tatizo?

    We pimbi kweli, hujui kama ukawa ni umoja wa katiba ya wananchi? Alishasema sana atairudisha ya wananchi na msimamo wake ni kama ilivyo ile ya wananchi. 3 serikali na kuadabishana live
Back
Top Bottom