Recent content by bennyy

  1. bennyy

    Chaza,jack,flat bar na gloves

    40,000 ila kama unachukua nyingi discount ipo boss karibu
  2. bennyy

    Chaza,jack,flat bar na gloves

    Angle iron Scaffolding coupler set Scaffolding jack Flat bar iron Gloves Binding wire Safety closest All on sale DM for business
  3. bennyy

    Nahitaji jina la Body spray kali

    Instagram wanatumia jina gani hao elegance
  4. bennyy

    Nahitaji jina la Body spray kali

    Wanatumia jina gani Instagram
  5. bennyy

    Nahitaji jina la Body spray kali

    Hivi elegance mawasiliano ya hata kama contact address media za fb kama itawezekana mkuu nisogezee
  6. bennyy

    Nahitaji jina la Body spray kali

    Hivi kwa bei hiyo ni katika ujazo gani 10mls au 30mls
  7. bennyy

    Nahitaji jina la Body spray kali

    Mkuu mbona hiyo ni cool power na si cool water angalia vzr
  8. bennyy

    Nahitaji jina la Body spray kali

    Naionaga onaga ila sijawhi kuitumiaaa vipi nayo ipo mjema na bei yake Ikoje
  9. bennyy

    Nahitaji jina la Body spray kali

    Bei yake ngapi hii mkuu
  10. bennyy

    Naomba kufahamu chimbo zuri la Mitumba Ilala

    Kaka mawasiliano naweza kupata kama hutojali maana umelimit view katika profile yako
  11. bennyy

    Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    Mkuu naomba mawasiliano yako maana umelimit view katika profile yako 🙏
  12. bennyy

    Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Mkuu hivi bado kipo kwa 10k gb 3 super kasi per month then wanaminya speed mpaka kutimia mwezi
  13. bennyy

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Kwamfano la mkoa au wilaya unalipataje mkuu ili nilitumie hilo hilo kwa eneo nilipo now
  14. bennyy

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Kwahyo mzigo wako ukifika unapigiwa simu unaenda kuupokelea wapi posta au?
Back
Top Bottom