Recent content by bennykiba

  1. B

    Sijalipwa mshahara miezi 8 na mkataba sipewi napewa posho tu msaada jamani wapi nipeleke malalamiko?

    Asante mkuu Mekupa japo vigeZo vyote ninavyo hivyo ila kweli busara inahitajika hapo Asante
  2. B

    Sijalipwa mshahara miezi 8 na mkataba sipewi napewa posho tu msaada jamani wapi nipeleke malalamiko?

    Habari samahani naomba kuuliza kwa mtu anae elewa hili swala kama mtu umeahidiwa mkataba na boss na hataki kutoa mwisho wa siku zaidi ya mwaka hujapewa mkataba na unapewa posho tu napo akijisikia hivi swala kama hili wapi naweza toa lalamiko na nikasaidiwa kisheria.
  3. B

    Sifa zinazotakiwa kwa mtu kujiunga na chuo chochote cha uandishi wa habari

    habari nahitaji kufahamisha juu ya chuo kizuri kinachotoa course ya multimedia na vigezo vyake
Back
Top Bottom