Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of Business Administration with Education huku masomo ya kufundishia yakiwa ni Bookeeping na Commerce . Ila...
Habari. Anatafutwa mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, aende Ngara- Kagera, huyu aje Wilaya yoyote ndani ya Mkoa wa Dodoma, Singida, Pwani, Tanga, Morogoro, Kilimanjaro.
Idara ya Msingi.
Mkopo ni lazima uombe tena mapema bila hivyo hutopata.. nafikiri result slip zitakubaliwa kwasababu mwaka jana zilikubaliwa, form huwa zinapatikana kwenye website ya Udom (www.udom.ac.tz) ila bado hazijatoka kwa sasa, mahitaji muhimu ni kwenda na fedha za kujikimu kwasababu chakula unajitegemea...
Nashukuru Sana mkuu kwa support yako kwa kutoa more details about ILAZO South, nilipanga nikiache kwanza kiwanja hiki mpaka ntakapomaliza ujenzi niliouanza mkoa niliohamia kikazi lakini niwe muwazi nimefika sehemu nimekwama hivyo sina budi kukiuza kiwanja hiki ili nimalizie ujenzi nliouanza...
Ni eneo zuri Sana, yaani nilikuwa napavutia kasi nijenge lakini mambo ndo yameingilia Kati, hivyo nazidi kuwakaribisha ndugu zangu kiwanja bado kipo. Karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.