Mleta mada umeongea kweli kabisa ,wadada wengi hawana subira kwenye mahusiano. Jambo dogo whats anabafiki status zenye utata mara ooh God knows ,mara I am still happy sasa mwanamke kama huyu kitu kidogo easy panic na kutoa nje mvumilivu kwenye ndoa au ni utoto tuuuuu?
Serikali yatoa nafasi za walimu zilizokuwa zikisubiliwa kwa muda mrefu na wahitimu waliomaliza vyuo mbalimbali kwa mwaka 2014, Akiongoea na waandishi wa habari Mh Jenista Mhagama amesema jumla ya walimu 26750 wamepangwa sehemu mbalimbali nchini,wengi wakienda katika shule mpya zilizojengwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.