Inasikitisha sana tunaoambiwa ni maskini na tunaotakiwa kukombolewa kutoka kwenye umaskin uliokithiri ndio tunaoombwa fedha za kampeni kwa kile mbowe alichokiita sadaka ya mabadiliko. Lakin bado tunashangilia tumekuwa malofa na wapumbavu kweli kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.