Nimekuelewa mzee....kwa kuzipata maeneo gan itakuwa rahisi zaid kwa apa dar? Au kama kuna mtu unamfaham anaziuza...
Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Samahani Chief,laptop zipi(aina) kwa dell au Hp(kwa izi mbili peke yake mfano Hp pavilion 15 au 17) zina Intel hd 4600 mkuu nashida nayo niweze kunnua nataka ncheza fifa16 au COD Black Opps
Nataka ninnue s7 from china its cheap kule je vgezo gani niviangalie kabla sijatuma hela na kutumiwa hyo sim? Msaada wako Chief ili nipate kitu brandnew OG au second hand OG na je naskia siku iz TCRA wanazfungia sa sijui kwel(zinazoingizwa bila kulipiwa kodi)
Anhuh dwuuh kwa io kuendelea nao ule ule uje kwenye chuo ulichoanza tena masomo upya mwaka wa kwanza haiwezekani.?
Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Anhuh okey nashkuru,Mfano kama umehama chuo unachosoma na umeapply chuo as kuanza afresh upya tena 1st year chuo kingine na course nyingine inakuaje apo?
Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Chief kaka hizi pc zenye cpu ya intel hd 4600 used za 400-600 naweza zipata wap maaana nimehangaika kuztafuta sehem nyingi nimezkosa kaka,naomba msaada wako wa kwa kuzipata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.