Recent content by BENJAMINI NATHANIEL

  1. BENJAMINI NATHANIEL

    Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Ndio kabisa hata kama raisi anania njema lakini sheria lazima izingatiwe katika kuhakikisha taifa linapiga hatua kwenye maendeleo.
  2. BENJAMINI NATHANIEL

    Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Ndio kama hoja iliyowekwa mezani huwezi kuijadili si lazima kuchangia but unatakiwa kusubili hoja ambazo unauwezo nazo.
  3. BENJAMINI NATHANIEL

    Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Vijana ni taifa la kesho so inabidi tufikilie kwa kina kujua nchi yetu inaendaje ndio maana nimeweka mjadala ili tuujadili tukiwa ni vijana wenye weledi katika kuhakikisha taifa letu linapiga hatua.
  4. BENJAMINI NATHANIEL

    Maisha: Ukikukatana marafiki wa "high class" usikimbilie kuomba hela, kutangaza shida zako ama kuwalaumu pindi mnakutana

    kwa vijana wa zama hizi wengi wao wakiwa na marafiki wenye kipato cha juu hupenda kuwaomba wawape fedha badala kupambana na hali zao ili wawe nao na kipato cha juu na kuweza kuendesha maisha yao,ninapenda kuwshauli waache tabia hiyo bali wafanye kazi kwa bidii.
  5. BENJAMINI NATHANIEL

    Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

    Kama sifa zote Kwa upande wangu naona anastahili kuwa makamo wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kama atapewa nafasi hiyo kwani tumeona jitihada zake katika nafasi aliyonayo ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwa kusimamia shunguli zote muhimu ambazo zinapaswa kushungulikiwa.
  6. BENJAMINI NATHANIEL

    Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu. Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana? Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
Back
Top Bottom