''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea.
Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
betting
bunifu
fikra
graphite
kimataifa
kiteknolojia
kukuza
kukuza uchumi
kupambana
kupitia
mapinduzi ya nne ya viwanda
silicon
tanzania
tanzania tuitakayo
uchumi
uhandisi
utegemezi
wataalamu
wenye
zao
Pamoja sana Kaka. 2G ni 64Kbps, 3G HSPA+ ni 8Mbps, 4G LTE ni 50Mbps na 5G ni 10Gbps. Hiyo 6G bado wako kwenye stage ya Prototype na ndio kasi yake wametest 100Gbps. Asante. JIFUNZE ZAIDI HAPA...
Nashukuru sana, ndio maana nimeshauri Wizara husika na wadau wa elimu tuanze kufanya maboresho kuanzia chini ili kutengeneza watu wenye uelewa mpana wa kuyapatia majawabu ya changamoto tulizonazo kama taifa.
Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda.
Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.