Recent content by benjamin qwendo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    me pia kuku wangu kashindwa kusimama na wengine wanasumbuliwa na mafua yasiyo pona mkuu na jicho moja hasa ya kulia hujifumba nisaidie kwa ushauri nini cha kufanya
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake

    Kila mtu ana uhuru wa kuchagua kati ya mema na mabaya. Mungu anapendelea mtu achague mema; lakini hamshukurutishi kwani anachagua kwa ufahamu na kwa uhuru kamili. Hivyo kila mtu yuko huru kuchagua kati ya uzima au mauti na hakuna anayelazimishwa. Lakini mwisho wa yote kutakuwa na hukumu ya haki...
Back
Top Bottom