Recent content by benjamin bosco

  1. benjamin bosco

    Mimi nina wasiwasi na huyu mdogo wangu

    Hahahahhahahhah mtaniuaaaaa
  2. benjamin bosco

    Mimi nina wasiwasi na huyu mdogo wangu

    Isije ikawa ni wewe mkuu ndio unataka tukushauri funguka ukweli me naona bado ujawa waz
  3. benjamin bosco

    Kozi zenye tija toka VETA

    Udereve pia uko vizur
  4. benjamin bosco

    Unakumbuka nini kwenye matokeo yako ya kidato cha nne?

    Kwa mimi nilio soma privet huku hali ya maisha yetu ni duni,,nilikutana watoto wa wabunge uko watoto wamatajili yan,sasa namkumbuka sana jamaa mmoja alukuwa anajiita WAZIRI alikuwa don bweni zima poket money yake kwa mwezi c chini ya laki mbli,sasa bwana hadi walimu walikuwa wanamshobokea xna...
  5. benjamin bosco

    MKOPO MKOPO MKOPO

    Duuh poa mwamba
  6. benjamin bosco

    MKOPO MKOPO MKOPO

    Duuh me nko IT
  7. benjamin bosco

    MKOPO MKOPO MKOPO

    Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  8. benjamin bosco

    MSAADA WADAU WANGU WA JF

    Anae kijua chuo cha TANZANIA PUBLIC SERVICE CAMPUS YA TANGA Naomba anisaidie kujua mazingira yake ya shule na mazingira ya hostel plz msaana nko serious sana.
  9. benjamin bosco

    CHUO CHA TANZANIA PUBLIC SERVICE TANGA

    Asante mkuu vip we unakijua
  10. benjamin bosco

    CHUO CHA TANZANIA PUBLIC SERVICE TANGA

    Samahani Wakuu nmechaguliwa kujiunga na chuo hicho cha tpst tanga,kwa yeyote anae jua mazingira,ya chuo,anisaidie na je ni vyema nkae hostel au nkapange geto tu MASAADA JAMANI [emoji120] [emoji120]
  11. benjamin bosco

    Jinsi ya

    [emoji1]
Back
Top Bottom