Unakumbuka nini kwenye matokeo yako ya kidato cha nne?

sarcomere1

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
305
571
Habari za mda huu wanajukwaa...

Je unakumbuka siku yyaliyotangazwa matokeo yako ya form four..

Share nasi uliyapokeaje? ulijisikiaje?, kuna kitu gani unique ulifanya unakumbuka?, ulikuwa katika hali gani?
 
Habari za mda huu wanajukwaa...

Je unakumbuka siku yyaliyotangazwa matokeo yako ya form four..

Share nasi uliyapokeaje? ulijisikiaje?, kuna kitu gani unique ulifanya unakumbuka?, ulikuwa katika hali gani?
Form three nlikuwa napiga sanaa yale mambo yetu,, kuingia form four nikatulia,,

Mother alijua ningeangukia pua, ila hatimaye advance nikaiona hahaha hahaha,, kipindi kile matokeo yanatoka karibia na x-mass,,
 
Sijui kwanini ila nilikuwa na hamu nayo balaa, ila matokeo hayakuwa kama nilivyoyatarajia. Nililia sana ila dada yangu akanipa moyo "shukuru umefaulu, ukilia sana ni kumkufuru Mungu".
 
Nakumbuka siku tunacheki kuna jamaa yangu alipiga divisheni 3 ya 25 yani aliishia mpakani... Jamaa alilia sana maana hakuamini kama angefaulu vile..
jamaa yangu pia alipata iyo, akapita sehemu nipo na wadau akanipa habari kumuuliza zaidi ananijibu sidhani sana maana walio faulu hawazidi 20

sikufatilia matokeo hadi bro wangu alipo yaleta home na kunipongeza wakati mie nilisha jua nimeangukia pua.
 
Kwa mimi nilio soma privet huku hali ya maisha yetu ni duni,,nilikutana watoto wa wabunge uko watoto wamatajili yan,sasa namkumbuka sana jamaa mmoja alukuwa anajiita WAZIRI alikuwa don bweni zima poket money yake kwa mwezi c chini ya laki mbli,sasa bwana hadi walimu walikuwa wanamshobokea xna kwa umaarufu wake na wazaz wake madon,,waliamin jamaa atapata 1 ya 7 kabisa,,bwana bwana kweli necta aijui mtoto wa don wala wa mkulima,,sasa cku naangalia matokeo nmepata 2 ya 20 jamaa ana 4 ya 29 niliback kuwa mwenye mshangao kwa mda sana maana nilianza kumuangalia yy kabra yangu,nilipo mpigia cm akanijibu mm cisomi ili nipate hela nasoma ili nikue tu,
 
Kwanza nlikumbuka ambavyo sikumaliza mtihan wa math na kukosea swal la linier programming kisha nkakumbuka ambavyo ckuamin gaka la chem nkakosea swal la qualitative analysis pia physics nlikua conc wa class lkn ilntoa jasho kwan kulikua na hesabu moja 2 mtian wote bila kusahau geo nlisoma vgum wakasema nitaje procedure za Ku draw simple bar graph nikaic hkl n Mali yang
 
Nlijua nn ntapata hata nilipoletewa tulikuwa kwa rafiki yangu yupo wengi yeye ndio alikuwa na laptop yaani naona **** nimepata **** was like he nimefaulu raha yake group zima matokeo yalifanana
 
Nakumbuka nilitegemea kupata div2 matokeo yanatoka nna 4 ya credit 2’ kwenda A level inabidi nisome huku natafuta credit moja
Kilikua kipindi kigumu sana
 
Nilifail mpka ckuamini kuwa ni mm kwani niliambulia C moja tu tena ya history but ckukata tamaa nilirud tena xhule kujaribu bahati yngu
 
Nilifanya school candidate, nilifeli (D moja tu) ila sikuyapinga matokeo yangu.

Hasira zangu nikafanya Private Candidate. Ingawa nimefaulu, (2:21) ila hadi leo nayapinga matokeo yangu nahisi nimeonewa.

Nilikasirika hadi nikaja na Uzi " SINA IMANI NA NECTA KWA UPANDE WA PRIVATE CANDIDATE"
 
Back
Top Bottom