Recent content by Bengoldstar

  1. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    Huwa unatabia yakufanya meditation.?
  2. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata mercury ya kununua?

    Sio kweli ondoa hizo fikra , kwan huamin kama mercury zipo nchini?
  3. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata mercury ya kununua?

    Mimi nitatoa hela nikiona mzigo.
  4. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata mercury ya kununua?

    Haha kwann
  5. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata mercury ya kununua?

    Mimi ninaihitaji kwa ajili ya kuuza tu maana inahitajika. Mm ninacheti cha mkemia na ninauza ki halali sio janja janja
  6. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata mercury ya kununua?

    Habari wana JamiiForums, Mimi ninahitaji sehemu ya uhakika ambapo nitakuwa na uhakika wa kupata Mercury nyeupe kwa ajili ya matumizi ya machimboni kutumika kwenye dhahabu. Nimejaribu kufuatilia dealers wanaouza lakini sipati wa uhakika hivyo basi naomba kama kuna dealer humu au mwenye...
  7. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Ahsnte sana aise, ngoja nijaribu leo leo tu maana ndoto ishakuwa kero hii.
  8. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Dah hapa ushauri wako nifanyeje boss
  9. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Nitajaribu pia na hii boss.
  10. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Hahhaa dah mkuu.
  11. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Shukran sana, ngoja niwafuatilie mkuu.
  12. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Ahsante mkuu
  13. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Nikajua labda n kwangu tu kama hvyo basi nimeanza kupata aman
  14. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Dah sawa mkuu, tunapeana moyo maana wanasema tatizo ukiambia watu ni nusu ya kulitatua.
  15. Bengoldstar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Dah watalaam wanasema kuna sehemu hakuko sawa.
Back
Top Bottom