Hoja ya msingi ni kuwa Huyu mgonjwa wa kujitakia alikuwa ana maneno machafu sana yasiyo na staha na ya dharau nyingi naweza ita ya kijinga na mojawapo ni la kudharau jitihada zinazofanyika za uboreshaji wa uhuduma bora za afya nchini, kiukweli alikuwa ana kejeli saaana. Hili ndilo la msingi...
Duh hili ndio tatizo la udogo wa mawazo, huyu jamaa hajawahi kuishi ulaya na Amerika...Bahati mbaya sana ameenda akiwa mgonjwa. Angekaa kwanza kujifunza jinsi wazungu wanavyowaona waafrika kiujumla..... Mweusi hata ujitanue vipi kiakili kwao, wao wanaamini kuwa "Waafrika ni binadamu walio na...
Hakuna madhara yoyote, mataifa ya dunia ya kwanza yanaelewa vizuri kinachoendela Tanzania kuliko pengine hata watu wengine waliopo ndani ya nchi hii, pia wana fahamu nini maana ya dhamana ya nchi na dhamana ya mtu binafsi. Lisu kama Lisu ni mtu tu binafsi ana malalamiko yake kama wengine...
Ni vyema wakati mwingine kuangalia kazi zingine za kufanya kama siasa imekupita na wakati, ni wakati muafaka kwa Zito kuachana na siasa. Umaarufu wake kisiasa ulikuwa zamani wakati wengi hawakuwa wakimwelewa kuwa ni tapeli wa kisiasa (Kigeugeu) Muda unavyozidi kwenda ndio anazidi kuporomoka...
Zito ameshapoteza CV kisiasa hana lolote, anatafuta kurudisha hadhi yake ya kisiasa aliyokwisha poteza siku nyimgi.... Amebaki kuwa muhamasishaji wa kwenye mitandao kwa kushare taarifa FAKE.
Kwa wenye akili timamu, Kichaa Mange ametoa mchango mkubwa saaana kukidhoofisha chama cha upinzani chadema. Ni makosa makubwa sana kuyakubali matamshi yake, kuyanukuu na kuyaweka kama mojawapo ya mihimili ya chama chenye watu wenye akili timamu na kufikiri kisawasawa.
Ni Tanzania pekee mgonjwa...
Angalia wanaoondoka CHADEMA wanatoa picha gani? wanaobaki ndo hao ninaosema..... Data zako ni mgando, watu wanatoka na wanaendelea kutoka, wao wanaona ujinga uliopo huko. Umeweka data mgando, dunia ina move mbele, inaenda mbele hao wa 2015 si wote wamebaki huko, wengi wameondoka ...tumia akili...
I'm taking the whole scenario in a broad perspectives with historical backgrounds, kama unaangalia medani za siasa kwa level yako na hivyo vi-elements vichache vya watumishi wa zamani wa CCM walioko upinzani kwaajili ya watanzania millioni 54 Basi hatutaweza kufikia muafaka.
Hakuna kitu kama hicho, harakati zenu za kijinga zimeua wengi sana na mmewaacha bila msaada baada ya hapo. huwezi kujenga chama kwa vurugu, na msitumie jina watanzania wanataka hiki ama kile. Hakuna mtanzania wa kweli anayependa vurugu za kijinga
Bahati mbaya sana Zito unayemtaja ni mwanasiasa mviziaji alishapoteza staha na ni mnafiki sana. Statistics za viongozi na wanachama wanao kihama CDM ni kitu wazi kinaonyesha kuna matatizo makubwa. Wewe huna ubavu wa kupima IQ yangu asilani
Wapinzani wanahitaji semina elekezi, hawaelewi upinzani ni nini? Kwa kuwasaidia ni ; Kuwa na maoni mbadala yenye akili, mawazo mbadala yenye akili, matendo mbadala yenye akili, matamshi mbadala yenye akili, mavazi mbadala yenye akili sio makombati hatuko vitani hapa, mnapaswa kuwa na staha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.