Recent content by bene michael

  1. B

    Je, wajua mila na desturi vilivyochangia ongezeko kubwa la UKIMWI Kagera?

    ichumu lya, Sina utaalamu wa sheria, lakini sielewi ushahidi gani utatolewa bila mashaka kuwa vifo idadi kadhaa vilitokana hasa na serikali kutotoa tahadhari ya aina kadhaa. 1. Maisha kwa nadharia ya Darwin na hata kwa mafundisho mengine ni mchango wa elimu/maarifa, maumbile, akili, utashi na...
  2. B

    Unawakumbuka nguli hawa wa soka?

    Ilikuwa 1979.
  3. B

    Tuwakumbuke Wanasoka wanaotoka Mkoa wa Kigoma

    wengine ni: Athumani Juma, Aloo Mwitu, Nondo Mikidadi, Hamisi Askari, Makumbi Juma, Sanifu Lazaro, Mavumbi Omari, Saidi Swedi(Scud), Saidi Swedi wa sIMBA, Salum Swedi.n.k, n.k. Taja na Morogoro. Mpaka sasa ni vigumu kulinganisha wanasoka wazuri kati ya Morogoro na Kigoma. Hao ndiyo top...
  4. B

    Unaishauri nini Simba?!

    1. Mpira ni team work na mazoezi: standard soccer, talent (kipaji) na attitude/fighting spirit. 2. mazoezi na standard soccer watu wengi wanaweza, talent ni ya waliojaaliwa na attitude/ fighting spirit nayo ni ya baadhi 3. unaweza kuwabadilisha wachezaji ila jiadhari na wenye talent na wenye...
  5. B

    Waziri Mwakyembe peleka Mrejesho wetu huu Sisi wana Simba SC kwa wale wenye Chuki Wenzio na Mwekezaji wetu Mo Dewji

    Kwa mtazamo wangu usio wa kitaalamu sana, 1. Kama sheria hiyo ikipita, thamani ya simba iwe re-valued mpaka bilioni 120. Mo awe na wastani wa 11,1% ambayo ni bilioni 20 halafu wawekezaji wengine wa bilioni 40 watafutwe. Wanachama wawe na bilioni 61.2. Kama hali itakubalika, zoezi la kuwatafuta...
  6. B

    Nani aliipa jina la 'Taifa Stars' timu yetu? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?

    TAIFA ni sawa kwani linawakilisha uniqueness kwa ushahidi wa utaifa wenye nguvu(ukilinganisha na nchi zingine zenye ukabila n.kj). Ni kwa kuwa hatuja perform vizuri tu otherwise jina bado zuri.
  7. B

    Yafahamu majina ya utani ya wachezaji wa zamani tanzania

    Willy Mwaijibe: Mokili George Kulagwa: Best Deo Njohole: OCD Daudi Salum: Bruce Lee Omary Chogo: Mluya au Chemba Mohamed Bakari: Tall Salim Shubeti : Uncle Shubet Mohamed Rishard: Adolph Steven Mapunda: Garincha Jumanne Hassan: Masimenti/ de Nascimento yaani jina halisi la Pele wa Brazil: Joao...
  8. B

    Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Bila ku specify vipindi: miaka, siyo rahisi. Ila across miaka mingi ni: i. Maulidi Dilunga ii. Sunday Manara iii. Saidi Mwamba ( Kizota) iii. Yanga Bwanga
  9. B

    Kocha wa Simba simwelewi

    Kwa alliance, Hassan Dilunga; Rshidi Juma LAZIMA WATUMIKE kwa namna ya kimkakati.
  10. B

    Kocha wa Simba simwelewi

    Cha kushangaza, mtu kama Bukaba, fatigue inatoka wapi wakati alikuwa hapangwi sana kwenye CCL?, Mlipili yuko wapi? hivi Coach anashindwa kucheza na combination itakayoruhusu Mlipili, Bukaba na Gyan kuziba nafasi ya Coulybali? huyo Coulybali kwa sasa ni hatarishi. Timu pinzani kuna kitu simple...
  11. B

    Yaliyo Mbele na Nyuma ya Simba SC -Last Part

    namba 3. Al Ahly imetolewa kimpira, Simba hailkutolewa kimpira but rather, because it doesn't deserve! What do you mean? Is there any criteria to deserve apart from meeting the set criteria? How has thus the club ranking of Tanzania has reached 18, allowing for 4 teams to participate in 2020/21...
  12. B

    Kikosi cha Simba Kifumuliwe

    Simba wamejitahidi sana. Kabla ya kufikiria nani atoke na nani asajiliwe kuna mlolongo wa mambo ambayo ni lazima yaangaliwe kwa mapana na marefu yake. 1. Kuuelewa vizuri mfumo wa mashindano haya na uwezo au ubovu wa kweli wa Simba. Hivi Simba, angepata zile pata kosa za Dar, matokeo yangekuwaje...
  13. B

    Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

    Renatus Njohole Kuna mdogo wao akina Gebo Peter nimsahau tu jina....
  14. B

    Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

    Aliwahi kuwepo Michael Ngassa: Magereza Dar miaka ya 1972 na aliitwa timu ya Taifa, sijui naye ndugu yao?
Back
Top Bottom