Yafahamu majina ya utani ya wachezaji wa zamani tanzania

BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
92,828
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
92,828 2,000
Omar Chogo si alikuwa wa Simba Mkuu??

-Yanga > Omar Hussein " Keegan"'
- Yanga > Isihaka Hassan "Chukwu"
- Simba > Daudi Salum "Bruce Lee"
- Simba Mohamed Bakar "Tall"
- Simba > Ezekiel Grayson "Jujuman"
- Simba > Omary Mahadhi "bin Jabir"
- Simba > Mohamed Kajole "Machela",
- Yanga " Chogo "chemba" aliitwa chemba kwani alikuwa mtaalamu wa kupiga akiwa aruka hewani na kubinuka "chemba"
 
B

bene michael

Senior Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
124
Points
225
B

bene michael

Senior Member
Joined Mar 1, 2017
124 225
* * * * * * * * * * * * * * * * * * *

1: Celestine
#Sikinde Mbunga
2: Makumbi Juma
#Homa_Ya_Jiji
3: Mohamed Yahaya #Tostao
4: Abbas Dilunga #Sungura
5: Kitwana Manara #Popat
6: Mohamed Kajole #Machela
7: Rashid Iddi #Chama
8: Boi Idd #Wikens
9: Athuman Iddi Chama #Jogoo
10: Edgar Mwafongo #Fongo
11: Juma Pondamali #Mensah
12: John Makelele #Zig_Zaga
13: Salum Kabunda #Ninja
14: Maulid Dilunga #Mexico
15: Michael Paul #Nylon
16: Said Sued #Scud
17: Frank Kassanga #Bwalya
18: Malota Soma #Ball_Juggler
19: Mohamed Hussein #Mmachinga
20: Madaraka Selemani #Mzee_wa_Kiminyio
21: Iddi Selemani #Nyigu
22: Athuman China #Dynamo
23: Fumo Felician #Mwalimu
24: Juma Bakari "Kidishi
25: Jimmy Mored #Moro
26: Abubakar Salum #Sure_Boy
27: Said Mwamba #Kizota
28: Hamis Gaga "Gagarino
29: Hussein Marsha #Smart_Boy
30: Methord Mogella #Fundi
31: Sanifu Lazaro #Tingisha
32: Godwin Aswile #Scania
33: Twaha Hamidu #Noriega
34: Fred Felix #Minziro
35: Jobe Ayoub #Kwasa_
36: Said Mrisho #Zicco
37: Sunday Manara #Computer

38: Abeid Mziba #Tekero
39:
Kama kuna mengine unayajua ruksa kuyataja tupate kufahamu
Willy Mwaijibe: Mokili
George Kulagwa: Best
Deo Njohole: OCD
Daudi Salum: Bruce Lee
Omary Chogo: Mluya au Chemba
Mohamed Bakari: Tall
Salim Shubeti : Uncle Shubet
Mohamed Rishard: Adolph
Steven Mapunda: Garincha
Jumanne Hassan: Masimenti/ de Nascimento yaani jina halisi la Pele wa Brazil: Joao Arantes de Nascimento
Haidari Abeid: Muchacho
Zamoyoni Mogela: Golden Boy
 
shululu

shululu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
27,909
Points
2,000
shululu

shululu

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
27,909 2,000
Thomas Mashara Uncle Tom

Hamis Gaga- Gagarino
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
7,913
Points
2,000
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
7,913 2,000
Nadhani aliyekuwa anaongoza kwa majina mengi ya utani ni Salum Kabunda...

Huyu bwana baadhi ya majina yake ya utani yalikuwa ni Ninja, Msudani na Baba Semeni...
Hamfikii Fredy Felix Katalahya Minziro Majeshi Baba ....!
 

Forum statistics

Threads 1,306,417
Members 502,110
Posts 31,579,705
Top