Biblia ina mapokeo mengi sana na bahati nzuri au mbaya kila mstari wa Bibilia unaruhusu kufanyiwa tafakuri (interprentagion) na matokeo ya hizo tafakuri ndo kama hizo unazouliza.
Ni wanawake wa mjini tu na sababu ni umri yaani wanajikuta wamekua wamama bila hata ya kuposwa.
Mwishowe wanaanza kutafuta kwa jasho kama wanaume tu 😀
Na wakifanikiwa wao ndo wanaoa (vibenteni)😀😀
Na wakikoswa utawaona kwenye nyumba za ibada .
Hakuna cha bonding bali shida ni wewe mwenyewe. Emu jifunze kupangilia kwanza hisia zako. Kama hisia zako zinachelewa kuload baasi utawabadilisha wengi sana. Kama utategemea kumpenda manzi baada ya kutoa uji moto utakua unajidanganya na ndio mana wanaume hupenda mwonekano wa nje kwanza kabla ya...
Zingatie tu mazoez ya kegel
Ondoa hofu unapokutana na mwenza wako na kama ni mwenza wa kudumu unaweza mshikirisha changamoto yako.
Epuka kutazama picha za ngono na uache kujichua pia mdogomdogo utaanza kujiamini na kufanya tendo kwa ufasaha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.