Recent content by benalight

  1. B

    JamiiForums Tanzania kozi ya prosthetics and orthotics kcmuco

    Unajaza thn unaenda nazo,haz2mw
  2. B

    JamiiForums Tanzania kozi ya prosthetics and orthotics kcmuco

    General inahusu viungo bandia... en kuhusu registration angalia admission kcmc zlshatoka.... ila unatakiwa ulipe 235000 for admission,one million ya initial fee,en some amount nmesahau for hostel... And medical form en hostel form zipo you have to download na uzijaze before reportn... hop...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro christian medical university college(KCMUco)

    M npo selected apo pia,ngoja tusubiri wenyeji watupe details
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulichaguliwa kujiunga UDSM fuata haya yatakusaidia

    sio mdogo sana,mdogo wangu kazaliwa 97 na amemalza six anaenda mwaka wa kwanza,co lazima amalize akiwa mkubwa km unaona atamalza akiwa mdg kumbka anaweza kuendelea na masters.... ila kwa ishu ya medical doctor fanyen 2 mchakato akfka chuo afanye transfer kwan point zake ni nzuri... Mafanikio mema
  5. B

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Jaman na mwenye uelewa kuhusu Bsc ya prosthetics and orthotics
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi na mke mwenye wivu uliopitiliza?

    mmmh,yaan hapo ataishiwa hata pozi la kuongea,kama ni mwepesi kulia itabidi ajiandae kudeki nyumba kwasababu floor itajaa machozi
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wakisema kila mtu afanye harusi yake sehemu aliyokutana na mpenzi wake, yako ingefanyika wapi?

    Hivi na wrong number watafungia wapi harusi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Second Round Application TCU

    ni kweli wameandika hivyo,kwa hiyo wenye gpa kubwa au entry points katika masomo wanayotaka ikiwa kubwa,atakuwa preferably choosen
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    usikate tamaa bado mapema,kama rafiki yako ameshasema atakusaidia na ukiongeza na kwenye discussions utatoka sana tu..... all the best
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

    asante nimekuelewa
  11. B

    JamiiForums Tanzania UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    msaada naomba mniangalizie huyu S0370/0023/2015
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

    Vipi hizi microbiology na nyngne ni molecularbiology and biotechnology
Back
Top Bottom