Ivi ndugu unajitambua kweli? Wabunge hawamtambui dr. Shein na Magufuli ndo mana walitoka Bungeni na ni sawa kabisa sasa kwann waende ktk party ya wahusika walewale ambao hamwatambui? Ni vizur wangesusia kotekote ili waeleweke juu ya msimamo wao japo nimewaona wachache kama Dada Sakaya. Ebu...
Mr. mpk upo vizur ktk post yako lakin sisi wabongo hasa wewe tunatatizo la kua bias kiasi kwamba huwez sifia upande flan ikiwa kafanya vzr eti kisa ni shabiki wa upande flan mfano sijaona hata siku moja ukikosoa ukawa eti jwakua ww ni wa upande huo. Ebu tubadilike ebo
Mtoa mada una akili za kitoto sana za kupenda kununa na kulaumu sana ebu fikir ww ungekua rais ungeweza boresha kila kitu kwa wiki 1? Kaanza vizur ivo tumpe moyo kwa kumpongeza ila baada ya miaka 2-3 kama hatoendelea na kasi hii ndo alaumiwe. Tunachukizwa na raia kama ninyi baada ya kumpa moyo...
Apimwe mara ngap ndg hio ndo style yake toka akiwa waziri walisema atachoka tu lakin wap! Tanzania tulipofikia tunahitaj Rais jama huyu mana taasisi zetu za umma ni full madudu so ngoja tunyoke kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.