Recent content by belin

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    1. Alimtukana hadharani waziri mkuu wa zamani - Jaji Sinde warioba. alimtukana hadharani Dr. Slaa. Alimtukana hadharani Lowassa. matusi makubwa - kazi aliyotumwa na akina ridhiwani imelipa kwake kwa kupewa ukuu wa ilaya
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mbadala wa CHADEMA utakao itoa CCM Ikulu

    Tunapaswa kuangalia huu utitiri wa vyama vya kisiasa... Nadhani ni muda wa kuwa na sheria za kufuta vyama visivyokuwa na tija...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mh. Silinde kama Lema! Waanza kukimbia posho za vikao vya kamati

    Akiwa ameacha posho za vikao vya Kamati zinazoendelea, Kama ambavyo imezoeleka kwa Lema kutohudhuria Kamati yake ya bunge, David silinde anaendelea na mikutano yake katika kata mbalimbali za jimbo la Mbozi magharibi. Akiwa ametembelea vijijini vya ivuna, iwatwe, sambang'ombe, mkomba, sante...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa pugu - kimepimwa.

    Ninauza kiwanja eneo la Pugu. Kimepiwa, kipo nyuma ya makazi ya Waziri Mkuu Pinda. Kina offer. Kina ukubwa wa 45 Kwa 26 sawa na square meter 982. Umeme umefika. Ni mita 190 kutoka barabara ya lami. Ni eneo zuri sana... ni eneo la viwanja vilivyopimwa tayari. bei ni Milioni 10. Bei inajadilika...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Shule za serikali zaanza kuikumbatia CHADEMA

    Katika Kile kinachoonyesha kuwa CHADEMA inakwenda kuchukua dola 2015, Shule za sekondari zinazomilikiwa na Serikali zimeanza kuikumbatia CHADEMA. Katika hali isyotarajiwa, kamati ya shule ya Sekondari ya Minaki imempitisha Mbunge wa Mbozi Magharibi kuwa Mgeni rasmi wa mahafali ya hamsini na nne...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

    Vijana wa Arusha leo watakuwa na Party Naura Spring Hotel kufurahia kundi la Masalia kupigwa chini. Karibuni sana. Kwa watakotaka kufika wasiliana na Exaud Mamuya au Dady Igogo. Mgeni rasmi ni Joshua Nassari.
Back
Top Bottom