Dodoma inajengwa kwa msaada wa serikali, nani willingly angechagua kukaa jangwani, na wenye mji wa dodoma wagogo wengi ni ombaomba na wafanyakazi wa ndani
Kwani unafikiri ni mji gani unaushinda dodoma kwa kupangwa? Na ni kwa sababu dodoma serikali imewekeza nguvu huko bila ya hivyo isingekuwa na utofauti na kina singida. Kuweni na heshima mbeya ni jiji kongwe wamesoma watu wengi maarufu, na mshughuri, ulikuwa mji muhimu sana kwenye harakati za...
Pole sana kwa changamoto yako unaweza kwenda hospitali ukapata lkn ukiwa nyumban unaweza kuepukana na vitu vinavyopelekea ukapata izo attack mfano inaweza kuwa vumbi, maua fulani nk
Hakuna uhusiano kwa kuwa ni mambo ya kigenetic, genes inaweza kuathirika na mabadiliko ya kimazingira kwa muda mrefu sana ko uwezekano ni 0.000001% ikasababishwa na tohara katika umri mdogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.