Recent content by Bel 101

  1. Bel 101

    Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    Mm nimekuja hapa kutafuta dawa jana nimeacha laki ofisini nmefungua ofisi kama nlivyoiacha lakn cha ajabu kwenye droo kuna 25k tu alafu unasema chuma ulete hamna Hujafanya biashara uswazi we tulia
  2. Bel 101

    Hivi ni kweli Tanzania nzima hawawezi kuondoa iCloud?

    Mm ninaweza kutoa iCloud namba yangu ni 0692949773 Kwa kutengeneza CFW na ku edit setapp
  3. Bel 101

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mm nimeagiza mzigo kwa huyu jamaa kama dollar 20 tu naskilizia kama niki upata nta wa recommend kwa huyu..
Back
Top Bottom