Wametimiza wajibu,kabla ya mahakama lazima ukate rufaa kwanza nahapo ndio unapata ushahidi mbele,maana hata mahakama watauliza baada ya hiyo hukumu ulichukua hatua gan,Nina imani Ndungai sio kila kitu bwana!
Kwa hali ilivyo inabidi kuwe na kota za mahakimu, wakimaliza hukumu zao wakae huko,maana haiingii akilini amfunge mtu kipuuzi puuzi alafu tuwe naye mtaani,
We kweli boya aubado hujazimua,tunaambiwa mahakama ya mafisadi pamoja nakufunguliwa kwa mbwembwe kibao haina kesi zakusikiliza wewe unasema kesi kibao!!!labda kama za usiku!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.