Recent content by beginner

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    !
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    mkuu asante sana! kuhusu la kuanza maisha ni kwamba mimi niko huku Dar ila nyumban ni mkoani! kwa hiyo nimekuja kutafuta maisha tu mkuu!! kuhusu kupanga ni muhimu maana hapa nakaa na washkaji tu alafu panabana saaaana yaan
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    asante Mkuu nimekuelewa sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    asante Mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    sasa mkuu si unisaidie kunichanganulia kama nilivoomba?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    mkuu achaa masihara niko serious
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    mkuu nashukuru kwa ushauri wako, ila hiyo laki tatu na nusu kwa milion mbili ni nyingi au kidogo?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    dada naomba hapo unieleze vizuri mfano kuhusu mauzo yake,faida ni baada ya mda gani maana kila mwezi natakiwa kufanya marejesho
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    niwekeze vip mkuu na biashara ipi? naomba unifungue akili kidogo hapo! mimi nahisi ukakasi kwenye akili yangu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya bisi (Popcorn) inahitaji kijana

    mkuu bei ya mashine ni sh ngapi?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    1) mkuu ni kwamba nimepewa taarifa hiyo na mtu ambaye yuko anashughulikia kwa sababu yeye yuko mkoani 2) mimi sina ujuzi ila nilitaka niitenge hiyo hela katika vibiashara vidogo vidogo ili nisiweze kukwama baadae
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

    salaam samahani wana Jamiiforums ,nimepata kiasi cha sh milion 2, nimepewa nikaanzie maisha ila sasa hapo natakiwa nitoe na kodi ya chumba na niangalie nifanye biashara gani! Binafsi nimepiga mahesabu naona hayaingii vizuri kwa sababu natakiwa kuwa nafanya marejesho maana mzazi...
Back
Top Bottom